mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
hili kundi si masikhara yanga ndio underdog iseeeMpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno! Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia vizuri!! Ni hakika haya ni mashindano ya mabingwa!! Ukilegeza unaweza kupigwa nje ndani mechi zote!! Halafu ujue Al Ahly yuko nyumbani, lakini amekamatika usipime!!
Halafu defenders wao wametulia sana!Hii timu iko vizuri sana. Yan wana wachezaji wazuri mnoo
Wachezaji karibia wote wana utulivu mkubwa sanaHalafu defenders wao wametulia sana!