FT: Ahly 3-0 Medeama : CAF Champions League : November 25, 2023

FT: Ahly 3-0 Medeama : CAF Champions League : November 25, 2023

Attachments

  • IMG-20231123-WA0005.jpg
    IMG-20231123-WA0005.jpg
    50.8 KB · Views: 2
Ila Waarabu huwa wanacheza kimkakati sana. Itakuwa wachezaji wao wanafundishika aisee.

Halafu naona Mamelod ndiyo huwa anawajulia Al Alhly na waarabu wengine.

Kwa sasa naona Jwaneng naye kaiga mbinu za Mamelod baada ya kuwapiga Wydad goli moja bila.

Pole yao Yanga alimparamia mwenyeji akitaka ampige goli za kutosha, mwisho wa siku kibao kikamgeukia.

Bado naendelea kuwafuatilia Waarabu jinsi wanavyocheza, mwisho wa siku ntawajulisha timu zetu hasa Yanga wazifahami hizo mbinu za kuwafunga Waarabu, hapo moja wapo hutakiwi kukurupuka na kushambulia bila mpango mana wakinyakua mpira inakuwa njaa!
 
Back
Top Bottom