BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno! Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia vizuri!! Ni hakika haya ni mashindano ya mabingwa!! Ukilegeza unaweza kupigwa nje ndani mechi zote!! Halafu ujue Al Ahly yuko nyumbani, lakini amekamatika usipime!!
Acha uongo.... Wewe labda unasikilizia redioni, medeama wamezidiwa, na sasa al ahly wanatafuta goli la 3
Tayari goli 3 kwa 0