FT: Ahly 3-0 Medeama : CAF Champions League : November 25, 2023

Acha uongo.... Wewe labda unasikilizia redioni, medeama wamezidiwa, na sasa al ahly wanatafuta goli la 3

Tayari goli 3 kwa 0
 
Huyu Kipa wa Medeama Ligi la Africa sio Hadhi yake alifa awe Ulaya huko na wenzake wakina Courtois, jamaa anadaka sio poa Nahisi huu msimu kuna timu kubwa inawez mchukua kama akiendelea kwa kiwango hiki
Mbona kafungwa magoli yote hayo
 
Huyu Kipa wa Medeama Ligi la Africa sio Hadhi yake alifa awe Ulaya huko na wenzake wakina Courtois, jamaa anadaka sio poa Nahisi huu msimu kuna timu kubwa inawez mchukua kama akiendelea kwa kiwango hiki
Atatufaa kuyo kwenye kuziba pengo la air manula.
Au mnasemaje wana Thiimbaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…