The List
JF-Expert Member
- Mar 25, 2017
- 1,732
- 4,924
Lisilowezekana ni kwa senene wa Mudi kutoboa Cairo.[emoji881][emoji881][emoji881] nendeni mkapambane hakuna lisilowezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisilowezekana ni kwa senene wa Mudi kutoboa Cairo.[emoji881][emoji881][emoji881] nendeni mkapambane hakuna lisilowezekana
Acha kushobokea wanaume kijana utakuja kulishwa majani.Lisilowezekana ni kwa senene wa Mudi kutoboa Cairo.
Jamaa alikuwa na hamu na mchecheto wa kuanzisha uzi humu ndio maana kaja haraka haraka humu.Kwamba mwenzetu ulitegesha alarm ikifika saa sita kamili upandishe thread? Anyways, ngoja tuone kama tunakamilisha ratiba au vipi.
Kasoro Mamelodi na Yanga. The rest ni kichapo tu.Mwarabu hategemei goli la ugenini, Cairo ndio machinjio ya waswahili wote.
Simba watapewa Kipigo Cha mbwa Koko leo! 5G na kukoma kujilinganisha na wakubwa!Kasoro Mamelodi na Yanga. The rest ni kichapo tu.
😂😂😂 Anyway Saa sita nilikuwa hata sijafika nyumbani.Kwamba mwenzetu ulitegesha alarm ikifika saa sita kamili upandishe thread? Anyways, ngoja tuone kama tunakamilisha ratiba au vipi.
Umeandika sana...ila Simba kashaweka historia nyinyi mtakuja nyuma kama kawaida...labda msusie mashindanoLeo ndio mwisho wa ngebe za Simba kujisifia kucheza ligi za madume ya mamba kama Al Ahly na Wydad!
Yaani eti mi nifungue maduka Buza kwa Mpalanger halafu eti nije nijilinganishe utajiri na Bakhressa sijui Rostam wapi na wapi!?
Kiwango Cha Mchezaji mmoja wa Al Ahly ni sawa ukusanye Chama, Saidoo, Baleke, Mzamiru, Kanoute na Ngoma! Tuliona kwa Mkapa Al Ahly walicheza kwa akili tu wakitengeneza nafasi nyingi za kufunga uchawi ukaepusha aibu mbele ya Rais wa Fifa na Wenger huku wenzao kina Kibu wakitumia maguvu na kurukaruka tu bila akili Wala mipango ya kufunga!
Mshahara wa mchezaji mmoja tu wa Al Ahly sawasawa ujumlishe mishahara kumi ya wachezaji wa Simba!
Baada ya Simba kukandwa 5G huko Misri Leo, kifuatacho usiku wa Leo itakuwa ni mgogoro mkubwa utakaozuka Msimbazi na mashabiki kudai kuwa wamegundua Simba ni msindikizaji tu ligi zote na wapo wataolianzisha kuwa kocha hafai na huku mazuzu mbumbumbu wengine wakimtetea!
Ila inajulikana tangu mwanzo mechi za Simba ni mbili tu super cup na Leo wataumaliza mwendo na kubeba kombe la kufa kiume!
Hatutaki lawama mshangao wala makelele ya kuonewa huko Misri wakati msuli wenyewe kiduchu!
Kwenye msafara wa Mamba kenge pia huwa wamo! Leo itathibitika maana ya msemo huu na Simba itarudi kwenye mavumbi yake ya siku zote, hakuna kombe lolote kwa msimu wa tatu, ikumbukwe ngao ya jamii ni mbao tu sio kombe la ligi!
Simba ni underdog yenye makelele makubwa!
Naitakia Al Ahly ushindi wa 5G dhidi ya Simba ili mji utulie kimyaaaa!
Aziz Kiiiiiiiii!! Gooooooool! Goli la tatu! Ni hat trick ya kihistoria, hat trick ya derby ya Dar-es-salaam!
Hilo goli la ugenini ndio limewafanya sasa hivi mpo makundi CAF vinginevyo sasa hivi zingekua habari zingineNa hakuna goli la ugenini
Amekufanyaje huyo unae mtaja?Role model wa Mwakalebela