FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Haijakamilika Mpaka ikamilike.

Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki.

Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa.

Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania.

Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare ya 2-2.

Tukutane Baadae.

Simba, Nguvu Moja.

Kila la heri Mnyama.

#Nguvumoja

Game On...

Dakika ya 23'

Al Ahly 0 - 0 Simba Sc

(On Aggregate 2-2)

Bado Timu zote zinashambuliana.

Boko anapoteza nafasi.

Al Ahly wanaingia kwenye box la Simba mara kwa mara...

Dakika ya 24'

Ball Possession

Al Ahly 73% Simba 27%

Al Ahly wanafunga goli. Inakuwa offside

*Game On...

Dakika ya 29'

Al Ahly 0 - 0 Simba Sc

(On Aggregate 2-2)

Kipa wa Al Ahly anapatiwa matibabu

*Game On...

Dakika ya 33'

Al Ahly 0 - 0 Simba Sc

(On Aggregate 2-2)

Dakika ya 37'

Al Ahly 0 - 0 Simba Sc

(On Aggregate 2-2)
Kipa Ally Anapatiwa matibabu baada ya kuumia, aliruka akarudi chini vibaya.

Dakika ya 41'
Al AhlyTEAM STATSSimba
8Shots2
0Shots on target1
74%Possession26%
252Passes93

Mpira unaendelea

Dakika ya 45+6

Bado hakuna timu iliyopata goli

Kipindi Cha Kwanza Kimemalizika.
Al Ahly 0 - 0 Simba..
Umeukimbia uzi wako
 
Back
Top Bottom