Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Jibu swali,mafanikio yako yapi ya kuwazidi Yanga?Tulia na mwiko wako huko nyuma, Utopolo una nini cha ziada 1998 ndiyo mara yako ya mwisho kushiriki makundi mpaka hii leo 2023
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali,mafanikio yako yapi ya kuwazidi Yanga?Tulia na mwiko wako huko nyuma, Utopolo una nini cha ziada 1998 ndiyo mara yako ya mwisho kushiriki makundi mpaka hii leo 2023
Umeukimbia uzi wakoHaijakamilika Mpaka ikamilike.
Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki.
Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa.
Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare ya 2-2.
Tukutane Baadae.
Simba, Nguvu Moja.
Kila la heri Mnyama.
#Nguvumoja
Game On...
Dakika ya 23'
Al Ahly 0 - 0 Simba Sc
(On Aggregate 2-2)
Bado Timu zote zinashambuliana.
Boko anapoteza nafasi.
Al Ahly wanaingia kwenye box la Simba mara kwa mara...
Dakika ya 24'
Ball Possession
Al Ahly 73% Simba 27%
Al Ahly wanafunga goli. Inakuwa offside
*Game On...
Dakika ya 29'
Al Ahly 0 - 0 Simba Sc
(On Aggregate 2-2)
Kipa wa Al Ahly anapatiwa matibabu
*Game On...
Dakika ya 33'
Al Ahly 0 - 0 Simba Sc
(On Aggregate 2-2)
Dakika ya 37'
Al Ahly 0 - 0 Simba Sc
(On Aggregate 2-2)
Kipa Ally Anapatiwa matibabu baada ya kuumia, aliruka akarudi chini vibaya.
Dakika ya 41'
Al Ahly TEAM STATS Simba 8 Shots 2 0 Shots on target 1 74% Possession 26% 252 Passes 93
Mpira unaendelea
Dakika ya 45+6
Bado hakuna timu iliyopata goli
Kipindi Cha Kwanza Kimemalizika.
Al Ahly 0 - 0 Simba..
Yanga ina mafanikio gani?Mafanikio yapi hayo makubwa uliyonayo wewe kuizidi Yanga?
Nakwambia wewe unaesema Simba ni kubwa kuliko Yanga,ndio nataka uniambie huo ukubwa wa Simba dhidi ya Yanga upo wapi?Yanga ina mafanikio gani?
Kijana wa Mwakalebela unafeli wapi?
Hivi na ww kumbe ni Makolo. Na uzuri wote huo dah! 😳😳😳Tulia babu.
Achanaa naye huyo anawaza ligi kuu ndo mafanikio ...Yanga ina mafanikio gani?
Kijana wa Mwakalebela unafeli wapi?
Utafilimbwa wewe unayewashwa na kigololi chakoTutafilimbwa hawa wajomba wnakuja kinoma
Ukapigwa 6-0 na Raja Casablanca ukatulia miaka 25 umri wa Mzinze na chenji juukabla ya wewe kushiriki mimi ndio wa kwanza
anasahau kufika robo kila mwaka ndo mafanikioAchanaa naye huyo anawaza ligi kuu ndo mafanikio ...
Haya huko Kimataifa una mafanikio gani?Achanaa naye huyo anawaza ligi kuu ndo mafanikio ...
kwamba al ahly ampanie simba, aache kuwaza mambo ya maanaSimba wakaze,inaonyesha wamepaniwa sana,aisee.
Babu sina amani hapa[emoji16], hadi game liishe.Hivi na ww kumbe ni Makolo [emoji15][emoji15][emoji15]