DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mtu anaitwa maaluul
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆🙌 Yani mm kwemda kunywa maji tu.. limerudi sa hi?Goooooo limerudi
Vijana wetu wa kiarabu wachangamke gemu iishe 2-1Vijana wetu wachangamke.
Naona ukabaji kwenye 18 sio agressive sana.
Nina imani na SIMBA haijawahi kuniangusha[emoji173][emoji173][emoji173]Lets go simba, bado nina imani na wachezaji wangu.
anapita kwenda kucheza na ihefuMatokeo yakibaki hivi bado ngoma bado nziyo kwa simba NADHANI
Mtashinda shemeji usiwe na shaka. Nimeminya hili la kushoto. Mtashinda!Daah..ngoja nilale aseehhhh mda mwingiii sana huoo
TuacheKIKOOOO WAAAAPIIIIII
Hizi shangwe zinazo pigwa huku nazifananisha na zile za 9 December 1961 wakati tukishangilia sherehe za uhuru wetu kutoka Kwa mkoloni wa kingereza......
Tanzania nzima immezizimaa
Nani kama Simba Tanzania [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4][emoji4]
Dakika ya ngapi
alitaka kulinda, kabla ya kulinda akapigwa kabaki kujilaumu tuSub ya Chama ni Hovyo Sana .....
Ni zaidi ya hovyoSub ya Chama ni Hovyo Sana .....
Eti wachezaji wako 😁😁😁Lets go simba, bado nina imani na wachezaji wangu.