Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
🤣Mtawapiga jingine. Dakika ya 89!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Mtawapiga jingine. Dakika ya 89!
Bado hujasemaSimba wanakaba sana, ila kwa kutumia macho
AahaaaaaaaKiko wapiiiii
Muulize robertHivi kwa nini hatuna nidhamu ya kuzuia magoli tukishafunga?
Kuna muda anazingua Sana hahahhahNimekaa tamaa na huyu kocha
Ina maana tukitoka droo tumetolewa?!!
Subiri mpira uishe ndio utajuaHivi goli la ugenini nado lipo?
We ndo boya hiyo level Simba atafika lini? Kama sio sasa??Ujui mpira kocha yuko sawa tuu, simba aijafika level ya kuitoa alhaly bado tunakuwa acheni lawama za kiboya
Nyie si mlisema mtaushangaza ulimwenguUjui mpira kocha yuko sawa tuu, simba aijafika level ya kuitoa alhaly bado tunakuwa acheni lawama za kiboya
Mnarudi nyumbani kucheza na MashujaaaIna maana tukitoka droo tumetolewa?!!
Hilo ni kwa ajili ya Wananchi. Siwezi kuchanganya madesa 😁
Level ya kuishia robo?We ndo boya hiyo level Simba atafika lini? Kama sio sasa??
Nakuona vile unaomba dua[emoji3][emoji3][emoji3]Mtawapiga jingine. Dakika ya 89!