ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Goli lenyewe tumelipata kimuujiza.... Papatu mara ndani....
Onana awe mwanamitindo...
Onana awe mwanamitindo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni Yanga Sc baada ya kupoteza kombe mbele ya USMA kwa kuruhusu kufungwa kwenye uwanja wao wa Nyumbani.
Dah! 😁😁😁Mpaka mfanyiwe tafrija ya kuwaaga? Huelewi nini hapo?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani yanga mliokuwa mnawaponda walitolewaje na kwenye Caf confedation,?Tumetolewa kikanuni
Nenda wewe ukawe kocha. Dunia ya mpira iliyostaarabika haina matusi ya hovyo kama haya. Sijui ni kizazi gani hiki.Huyu kocha ni maku tu
Tutaishia Robo kila mwaka kama akili zenyewe ndio hizi.....Anzisha timu yako iwe inashinda kila mechi.
Wamebakia kujifariji tu. 😂Waarabu tumesawazisha ubao... sisi ni jino kwa jino 🤗🤗🤗
Kama USMA aliwakamua kwa Mkapa, hilo haliwezi kuwa gumu sana.Ngoja tusubiri jamaa zetu watakavyopigwa nje ndani.
AahaaaaTumetolewa kikanuni
Onana arudi kwa miguu
Ni goli au sio goli?Goli lenyewe tumelipata kimuujiza.... Papatu mara ndani....
Onana awe mwanamitindo...
Hiyo sheria ya Facebook ndio iliyotumika leo.Mbona hizo sheria zimekaa kifesibuku sana yani sheria ndo hizo tu au ?
Let the excuses begin 😁Tumetolewa kikanuni