Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
UKWELI MCHUNGU.Halafu Ghafla sana.
Kweli wahuni sio watu wazuri
Timu zenye rekodi nzuri kwa al ahly katika bara la afrika ni SIMBA NA MAMELODI SUNDOWN.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKWELI MCHUNGU.Halafu Ghafla sana.
Kweli wahuni sio watu wazuri
Umesahau kuhusu betting Mkuu,eti mliwapa Mwarabu ashinde tanoAahhahaaa
Mara rekodi,mara sijui temtolewa kikanuni,mara sijui nini
Hizo rekodi zimeisaidia nini timu yako?UKWELI MCHUNGU.
Timu zenye rekodi nzuri kwa al ahly katika bara la afrika ni SIMBA NA MAMELODI SUNDOWN.
Simba kakandwa mechi ipi, unaujua mpira kweli ?,, alafu historia yenu baki nayo sina interest nayo historia pekee nayoijua ni kwamba Utopolo kapigwa Hamsa na mnyama simba full stop.Nimekupa history Ili uachane na mambo usiyoyajua Bali tuzungumze Leo Simba imekufa kiume Tena, na tulishasema Simba mechi zao 2 tu wanafurushwa Super cup! Hapo vipi? Tuongee Simba kurudi kwenye vumbi la NBC premier league baada ya kukandwa na kuacha madume ya mamba kuendelea na safari Yao waliyoidandia!
Kufahamika na raisi wa kandanda ulimwenguni GIANNI INFATINO.Hizo rekodi zimeisaidia nini timu yako?
Mbumbumbu hao, Ndugu Rage alikuwa sahihi [emoji817] wao mafanikio ni kushiriki mashindano tu, Vikombe, Medali Ziro...Hizo rekodi zimeisaidia nini timu yako?
Ndio kombe au medali yenu hiyo Kimataifa?Kufahamika na raisi wa kandanda ulimwenguni GIANNI INFATINO.
Hakuna timu inayojielewa duniani inayogombania medali.Ndio kombe au medali yenu hiyo Kimataifa?
Boya we
Hata kama sijasomea ukocha siwezi hitaji matokeo alafu nikamuingiza Onana au miquisone.
Ila katoka kwenye mashindano.Simba haijapoteza mechi yeyote sio ligi kuu wala AFL kwa wakubwa
Ndio Sheria iliyokufanya uendelee kuwepo kwenye mashindano ya klabu bingwa😂😂Hii sheria ya goli la ugenini ingeondolewa