FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Simba kakandwa mechi ipi, unaujua mpira kweli ?,, alafu historia yenu baki nayo sina interest nayo historia pekee nayoijua ni kwamba Utopolo kapigwa Hamsa na mnyama simba full stop.
 
Hata kama sijasomea ukocha siwezi hitaji matokeo alafu nikamuingiza Onana au miquisone.

Ni kweli mkuu.

Shida ni kwamba akina kibu na saido walikuwa wamechoka sana.

Mala Mia Angemuingiza Mzamiru Kuliko onana

Same Benchi la Simba Bado jeupe.

UNASAJILI Wachezaji 10 wanaocheza ni NGOMA na Chemalone.

Miq Aliingia show off
Kama alivyoanza TAIFA na kuinyima Simba ushindi.
 
Game ya Mamelodi Vs Petro de Luanda.
Inaendelea ni Dakika ya 74'
Sun 0 -0 APL

(On Aggregate
0—2)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…