FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Egypt wanafungika tu sema nikifikiria ile backline simba napata mashaka, Kibu anaweza akasumbua
 
Hamna timu isiyo fungika lakini inabidi wajitume mara mbili zaidi, wacheze compact sana na wafanye pressing ya maana yaani akigusa mpira mchezaji wa Al ahly wahakikishe watu wawili tayari wamefika yaani wasipate muda wa kufikiria ..
 
Makolo betini basi simba inashinda yaan hapo ukiweka steak 1000 tu unapata mzigo wa maana[emoji23]
Screenshot_2023-10-24-15-36-28-014_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom