Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Weka uliweHii nayo ni history sijawahi kuona giant ana odds 20View attachment 2791149
Kwani 1st leg Simba alipewa odds chache? Nini kilitokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka uliweHii nayo ni history sijawahi kuona giant ana odds 20View attachment 2791149
Watu hatujashuhudia Khamsa Khamsa siku nyingi, leo tunashuhudia kipigi kizito kikishushwa na Al Ahly kwenda kwa Simba.Leo ndio mwisho wa ngebe za Simba kujisifia kucheza ligi za madume ya mamba kama Al Ahly na Wydad!
Yaani eti mi nifungue maduka Buza kwa Mpalanger halafu eti nije nijilinganishe utajiri na Bakhressa sijui Rostam wapi na wapi!?
Kiwango Cha Mchezaji mmoja wa Al Ahly ni sawa ukusanye Chama, Saidoo, Baleke, Mzamiru, Kanoute na Ngoma! Tuliona kwa Mkapa Al Ahly walicheza kwa akili tu wakitengeneza nafasi nyingi za kufunga uchawi ukaepusha aibu mbele ya Rais wa Fifa na Wenger huku wenzao kina Kibu wakitumia maguvu na kurukaruka tu bila akili Wala mipango ya kufunga!
Mshahara wa mchezaji mmoja tu wa Al Ahly sawasawa ujumlishe mishahara kumi ya wachezaji wa Simba!
Baada ya Simba kukandwa 5G huko Misri Leo, kifuatacho usiku wa Leo itakuwa ni mgogoro mkubwa utakaozuka Msimbazi na mashabiki kudai kuwa wamegundua Simba ni msindikizaji tu ligi zote na wapo wataolianzisha kuwa kocha hafai na huku mazuzu mbumbumbu wengine wakimtetea!
Ila inajulikana tangu mwanzo mechi za Simba ni mbili tu super cup na Leo wataumaliza mwendo na kubeba kombe la kufa kiume!
Hatutaki lawama mshangao wala makelele ya kuonewa huko Misri wakati msuli wenyewe kiduchu!
Kwenye msafara wa Mamba kenge pia huwa wamo! Leo itathibitika maana ya msemo huu na Simba itarudi kwenye mavumbi yake ya siku zote, hakuna kombe lolote kwa msimu wa tatu, ikumbukwe ngao ya jamii ni mbao tu sio kombe la ligi!
Simba ni underdog yenye makelele makubwa!
Naitakia Al Ahly ushindi wa 5G dhidi ya Simba ili mji utulie kimyaaaa!
Aziz Kiiiiiiiii!! Gooooooool! Goli la tatu! Ni hat trick ya kihistoria, hat trick ya derby ya Dar-es-salaam!
Khamsa Khamsa leo.Hii mechi siyo ya kukosa hata kidogo. Na uzuri inaanza saa 11 jioni. Ni bahati iliyoje!!!
📌📌📌👏🏼👏🏼👏🏼Leo ndio mwisho wa ngebe za Simba kujisifia kucheza ligi za madume ya mamba kama Al Ahly na Wydad!
Yaani eti mi nifungue maduka Buza kwa Mpalanger halafu eti nije nijilinganishe utajiri na Bakhressa sijui Rostam wapi na wapi!?
Kiwango Cha Mchezaji mmoja wa Al Ahly ni sawa ukusanye Chama, Saidoo, Baleke, Mzamiru, Kanoute na Ngoma! Tuliona kwa Mkapa Al Ahly walicheza kwa akili tu wakitengeneza nafasi nyingi za kufunga uchawi ukaepusha aibu mbele ya Rais wa Fifa na Wenger huku wenzao kina Kibu wakitumia maguvu na kurukaruka tu bila akili Wala mipango ya kufunga!
Mshahara wa mchezaji mmoja tu wa Al Ahly sawasawa ujumlishe mishahara kumi ya wachezaji wa Simba!
Baada ya Simba kukandwa 5G huko Misri Leo, kifuatacho usiku wa Leo itakuwa ni mgogoro mkubwa utakaozuka Msimbazi na mashabiki kudai kuwa wamegundua Simba ni msindikizaji tu ligi zote na wapo wataolianzisha kuwa kocha hafai na huku mazuzu mbumbumbu wengine wakimtetea!
Ila inajulikana tangu mwanzo mechi za Simba ni mbili tu super cup na Leo wataumaliza mwendo na kubeba kombe la kufa kiume!
Hatutaki lawama mshangao wala makelele ya kuonewa huko Misri wakati msuli wenyewe kiduchu!
Kwenye msafara wa Mamba kenge pia huwa wamo! Leo itathibitika maana ya msemo huu na Simba itarudi kwenye mavumbi yake ya siku zote, hakuna kombe lolote kwa msimu wa tatu, ikumbukwe ngao ya jamii ni mbao tu sio kombe la ligi!
Simba ni underdog yenye makelele makubwa!
Naitakia Al Ahly ushindi wa 5G dhidi ya Simba ili mji utulie kimyaaaa!
Aziz Kiiiiiiiii!! Gooooooool! Goli la tatu! Ni hat trick ya kihistoria, hat trick ya derby ya Dar-es-salaam!
Pia Rwanda Tv 299Mechi ya kesho kwa wale wa dstv itaoneshwa channel no 275 k24.
ACHENI KUJIFARIJI NA MAMBO YA KIPUMBAFU.
HWEZI UKAENDA VITANI NA GOBOLE MWENZIO ANA KIFARU.
SHAME.
SIMBA LAZIMA AFUNGWE KWA SABABU YA KUSAJILI WACHEZAJI MIZIGO.
1. AYOUB Lakred.
2. ESOMBA ONANA.
3. MOSES PHIRI.
4. AUBIN KRAMO.
Hawa wanafanya kazi KUBWA Sana lakini hawana mchango.
5. SAIDO NTIBAZONKIZA.
6. SADIO KANUTE.
Unateseka ukiwa wapi?
Mimi naweka Al Ahly wewe weka Simba saa 7pm tutajua nani kaliwaWeka uliwe
Kwani 1st leg Simba alipewa odds chache? Nini kilitokea?
Sijakukataza, umenishangaza dume zima na kengele zako unabonga juu ya njemba nyingine kutwa nzimaKumbe mwanaume hatakiwi kumuongelea mwanaume mwenzake?
Hii nayo alikufundisha au ulijiongeza mwenyewe?
Ha ha hamliona wapi kunguru akanyea manati?