Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah..ngoja nilale aseehhhh mda mwingiii sana huoo74...
Sikupingi mkuuSimba ndio timu bora Africa
Omba ukubaliwe mbona la sivyo utahamia burundiEee Mungu saidia Ahaly warudishe, tutaishije sie
Unatuambia au unauliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Wamesawazisha
😂😂😂😂 Kiko wapi mamamae zako 1-1 sasa ongea tenaOffnyoko!
kwani goli la ugenini lipo bado
mkuu mimi yanga pia imeniuma huyu si wa ku draw alitakiwa apigwe kama ngoma na atokeMimi ni yanga kama wengi mnijuavyo humu
ILA hi imeniuma
Utaifa kwanza!!
Mbinu ya kocha naona kama ameiwaisha sana.Chama anatoka
😂😂😂😂Furaha ya masikini haidumu
Mungu ibariki Simba ishinde leoTuwapige lapili tufunge ukurasa