Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kutoka wametoka kuja kupambana na MashujaaWanajeshi wangu wamepambana vyakutosha
Kiko wapiiiiiiVAR ya uto ni ya kichoko
Niombe dua?Nakuona vile unaomba dua[emoji3][emoji3][emoji3]
Lipo limejaaaHivi goli la ugenini nado lipo?
Wanapigwa na Yanga hao. Kama wale vibonde vyetu USM waliwafunga isije kuwa sisis. Hata nyie vibonde wetu mnawatoa jasho. Sisi si tutawapiga kama ngoma?Nitathibitisha maneno yako mkikutana nao kisha mkawakuna [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi ya onana bora angeingia phiri tujue moja.Onana bishoo sana.Onana anaingia
Kibu anatoka
Miquisson anaingia
Hii imeanza lini😁😁
Umeloa?Timu yangu Al Ahly malizeni la mwisho niwahi nyumbani mvua inanyesha.....shabiki wenu kipenzi nimeloa hapa
Maybe toka kwa adui mtani! Utaifa kwanza.. Tanganyika kwanza[emoji173][emoji173][emoji173]Mtawapiga jingine. Dakika ya 89!
Ndio nini sasaSubiri mpira uishe ndio utajua
AahaaaaaKiko wapiiiiii
Akitoka mashujaa Ihefu anamsubiri amkande baada ya hapo anaingia Mwananchi nae amkandeNa kutoka wametoka kuja kupambana na Mashujaa