FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

.
giphy.gif
 
Oooh watakula nne oooh 5 oohh perepete pereteee...
Mpka sasa Simba ndo baba lao....
Tumetoana jasho
Siwadai Simba yangu...
Simba nguvu moyaaaaaaaaa
Hizo kauli zilikuwa ni za wasiojua mpira, tangu lini Simba Sc akawa mteja wa team za Egypt.?

Haipo hata ukianza kutrace tangu enzi za Nyerere huko.
 
Back
Top Bottom