MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Hatuwadai !mnyama BIG UP👊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dawa iwaingie,kipindi kile cha Yanga mlicheka sana.Usenge ni hiyo Sheria ya goli la nyumbani caf wanautaratibu wakifala sana!
inatisha vp jamaa hawakuwa na time ya kuwafunga, mkajidai mnajua wakawaoneshaWanangu wa Simba wote tembea kifua mbele,bado Simba inatisha.
Acha vuruguKuna mi watu ilibeti sijui hali zenu zikojeee
Yani moyo wangu hauna majonzi...hamjatuabisha
hahaha hata onanaHatuwadai !mnyama BIG UP👊
NIKIKUMBUKAGA HII SIKU NATAMANIGI KULIA.Kiukweli, kutolewa wametolewa lakini somo tumelipata.
Makolo mnaona sheria ya goli la ugenini inavyouma? Wenzenu tulishayapitia kwenye fainali CAFCC, poleni na hongereni.
Kama kawaida, kombe la kufa kiume.Wale waliosema tutapigwa nyingi wako wapi?
Kufa kiume kama kawa
Hata la Ahly ni nearly deflection, kwahiyo nao pia lilikuwa ni goli papatupapatu.Goli lenyewe tumelipata kimuujiza.... Papatu mara ndani....
Onana awe mwanamitindo...
Wee hawana la kusema wamebaki kutema maji...vyura hao...Simba haichezi vizuri
Simba sio timu bora na ndio maana makundi imepita kwa kanuni tu.
Nataka niendelee kuzisikia hizi kelele zikiamia kwa Al Ahly
Eti tutaishia, unachangia nini katika timu wewe. Wenzako wameweka fedha hawana kimuhemuhe km wewe, wewe ambaye mtaji wako ni kelele tu unajaa povu.Tutaishia Robo kila mwaka kama akili zenyewe ndio hizi.....
kila siku unaishia ROBO..!! ubaba lao wa kijinga sanaNANI ANABISHA KUWA SIMBA NDO BABA LAO UKANDA HUUU????
Mi yanga mkuu ila sikubaliani na huo upuuzi wa goli la nyumbaniTulia dawa iwaingie,kipindi kile cha Yanga mlicheka sana.
Kiko wapiiiiiii wameufyta mkia 😆kiko wappi.
Naona umeamua kujifariji kwa mtindo huuWale wazee wa over 2.5, Ahly win & 1.5 mna hali gani huko..?
Kwisha mshatolewa au mnataka mtembezewe na mabanziMi yanga mkuu ila sikubaliani na huo upuuzi wa goli la nyumbani
Yani mtolewe nyinyi, ila tuwe nalo sisi? Unaumwa?Uto ledizi and jentro...mnalooooo mmetuombea mabaya ndo waarabu wenu wamekua wekundu tuuu...