FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Ni kweli kwenye kukaba sio mzuri kwa kiwango kikubwa, yani anahitaji kucheza na winga kama moloko upande ule wa kushoto maana moloko huwa na nidhamu nzuri sana kwenye kukaba huwa anrud kusaidia kukaba sema shida ya moloko kwenye kushambulia anacheza mpira wa kizamani sana kwenye kushambulia....au ndo asaidiwe kukaba na akina mwamnyeto na Bacca.
Moloko ana kasi sana shida ni maamuzi. Anakimbia na mpira halafu hajui afanye nini!
Zile mechi za CAFCC kuanzia robo hadi nusu fainali hapa home alizingua sana.

Lakini kwa aina ya wachezaji wa Ahly, sio chaguo sahihi kuanza nae, labda atokee sub.
Hutakiwi kufanya makosa golini mwao. Hapa ndipo ninapomkumbuka Mayele!
 
Si mama yako mzaz
Jana kuna choko mwezio alianza hivi hivi lakini alishindwa kuhimili mziki wangu ikambidi akimbilie kwa mods, tafadhali leo sipo tayari kutukanana.

Ila tafadhali usinimtaje mama yangu, huwa inaniuma sana, maana sijui kashindaje siku ya leo.

Leo nipo kivingine kabisa, tafadhali tena usimtaje MAMA yangu.
 
Moloko ana kasi sana shida ni maamuzi. Anakimbia na mpira halafu hajui afanye nini!
Zile mechi za CAFCC kuanzia robo hadi nusu fainali hapa home alizingua sana.

Lakini kwa aina ya wachezaji wa Ahly, sio chaguo sahihi kuanza nae, labda atokee sub.
Hutakiwi kufanya makosa golini mwao. Hapa ndipo ninapomkumbuka Mayele!
Objective analysis...

Extremely smart 👏🏼👏🏼👏🏼
 
Hili liOnana aende Uto. Hatutaki hata mia.

Tunamtoa kwa hisani. Hakuna mchezaji pale.

Ngoma na Kanoute wamecheza vizuri sana.

Simba Nguvu Moja, hakika sisi ndiyo Wakubwa Ukanda huu.
Kila msimu ni hapo hapo timu inapoishia, na siku zote Simba inatolewa kwa aina ile ile ya matokeo ( matokeo ya kikanuni kasoro mechi dhidi ya Tp Mazembe peke yake)
Vs Kaizer chief
Vs Orlando
Vs Wydad
Vs Al Ahly ni jambo lile la kuishia kusema timu imepambana, timu imemtoa jasho bingwa mtetezi, timu imekufa kiume. Sijui ni lini ngome ya robo fainali itavunjwa na kutokea kwenye nusu fainali.
 
Back
Top Bottom