Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Moloko ana kasi sana shida ni maamuzi. Anakimbia na mpira halafu hajui afanye nini!Ni kweli kwenye kukaba sio mzuri kwa kiwango kikubwa, yani anahitaji kucheza na winga kama moloko upande ule wa kushoto maana moloko huwa na nidhamu nzuri sana kwenye kukaba huwa anrud kusaidia kukaba sema shida ya moloko kwenye kushambulia anacheza mpira wa kizamani sana kwenye kushambulia....au ndo asaidiwe kukaba na akina mwamnyeto na Bacca.
Zile mechi za CAFCC kuanzia robo hadi nusu fainali hapa home alizingua sana.
Lakini kwa aina ya wachezaji wa Ahly, sio chaguo sahihi kuanza nae, labda atokee sub.
Hutakiwi kufanya makosa golini mwao. Hapa ndipo ninapomkumbuka Mayele!