FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

makolo ili wafike nusu fainali basi hayo mashindano yaanzie nusu fainali
20231024_194659.jpg
 
Sharauti kwako mtani wangu...usie na heka heka ...
Mi wala siyo mshabiki wa mpira basi tu huwa napenda hekaheka zenu. Kakangu alikuwa shabiki wa simba wale wa kulia, kutokula na kujifungia ndani hata wiki Simba ikifungwa. Nilijifunza kwake kutokuwa na ushabiki wa vile na nilikuwa namzingua tu kwa kujifanya mi Utopolo...

Kwangu ushabiki huu ni kucheka na kufurahi na kusema kweli sijui lo lote la maana kuhusu mpira. Mi mchezo wangu vitasa!
 
Wanasimba mna huzunika kutokea wapiii
Simba ni timu ya kwanza sio Tanzania ni ukanda wa Africa Mashariki na kati kuwa ya kwanza kushiriki mashindano haya
Timu haijafungwa na mbabe wa vita mafarao ya Misri away na kwao...
Unahuzunika kutokea wapiiii....
Timu yetu imekuwa ya kwanza Tanzania kushuhudiwa na Top leaders wa mpira akiwemo rais wa FIFA....
Hapa ni mwanzo tuu najiona tunaenda mbalii
 
Mm km shabik wa simba nimeridhika na timu yangu,we yanga km hujaridhika peleka huo usenge kw maMa ako
 
Moloko ana kasi sana shida ni maamuzi. Anakimbia na mpira halafu hajui afanye nini!
Zile mechi za CAFCC kuanzia robo hadi nusu fainali hapa home alizingua sana.

Lakini kwa aina ya wachezaji wa Ahly, sio chaguo sahihi kuanza nae, labda atokee sub.
Hutakiwi kufanya makosa golini mwao. Hapa ndipo ninapomkumbuka Mayele!
Yani apo Lomalisa asaidiwe tu kukaba na wenzie kule nyuma au option nyingine ni Farid Musa kucheza upande wake kuna kipindi alichezaga km beki wa kushoto na aliiweza vyema ile namba kipindi cha kocha nabi, kuhusu mayele inbd tumsahau tu si wetu tena...cha muhimu kila atakayepata nafasi na afunge magoli yaje kwa mtu yeyote uwanjani sio mpk mipira iende kwa wamaliziaji wa mwisho maana hii ndio iliyokuwa inamfanya mayele awe mchoyo na asiweze kuwaona wenzie waliokuwa kwenye nafasi nzuri zaidi yake na kusababisha timu kukosa kufunga magoli mengi kwenye baadhi ya mechi... yeyote atakayekuwa kwenye nafasi nzuri afunge au akimuona mwenzie yupo kwenye nafasi nzuri zaidi yake ampe afunge.
 
Back
Top Bottom