FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Fainali Sisi tulishinda kule, tukatolewa kikanuni, mikia ikachonga mwezi mzima hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] zamu yao kuimba kikanuni
Vile Makolokolo SC fans yanauzum huu ujumbe na kupita kimya kimya
JamiiForums1088815836.jpg
 
Kufungwa 5 na timu kubwa kama Alhy ni kawaida, hata yanga alishafungwa 5 bila na timu kubwa ya Simba

NB:ukibisha naweka video
Nabisha, weka video! Nina uhakika huna!

Mechi hii ya Simba 5 Yanga 0, huijui! Ilikuwa ya mchongo! Mi niliangalia mwanzo mwisho ilikuwa 2012 au 2013 sikumbuki mwaka vizuri, mwanangu wa mwaka mmoja alikuwa akishangilia Kila goli la Simba nikasema haka katoto kangu kameshaharibika!! Ni kolo haka! Na kweli hadi Leo kamekuwa kolowizard!

Wakati ule Kulikuwa na mgogoro mkubwa sana jangwani kati ya viongozi na wazee wa timu ya Yanga waliokatiwa mirija ya ulaji!

Siku moja kabla ya mechi Mzee Akilimali akaitisha press conference akiwa kwenye taarifa ya Habari ITV usiku saa 2 akavua kofia akaweka mezani akasema kwa hasira Kali, kesho tutaona nani zaidi kati ya Yanga Asili sisi wazee na Yanga kampuni ya viongozi hasa Mwenyekiti! Kesho yake Yanga ikapigwa goli tano huku wachezaji wakicheza chini ya kiwango live!! Hatujui walipewa Nini kujiangusha vile!

Nimekupa history ya mechi hiyo ambayo Mimi niliishuhudia mwanzo mwisho!!

Sasa waambie Simba waifunge Tena Yanga khamsa! Siku Mkiweza mi hapo hapo nakuwa Mbumbumbu Ayubu fc kolowizard Leo hii!!
 
Nabisha, weka video! Nina uhakika huna!

Mechi hii ya Simba 5 Yanga 0, huijui! Ilikuwa ya mchongo! Mi niliangalia mwanzo mwisho ilikuwa 2012 au 2013 sikumbuki mwaka vizuri, mwanangu wa mwaka mmoja alikuwa akishangilia Kila goli la Simba nikasema haka katoto kangu kameshaharibika!!

Kulikuwa na mgogoro mkubwa sana jangwani kati ya viongozi na wazee wa timu ya Yanga waliokatiwa mirija ya ulaji!

Siku moja kabla ya mechi Mzee Akilimali akaitisha press conference akiwa kwenye taarifa ya Habari ITV usiku saa 2 akavua kofia akaweka mezani akasema kwa hasira Kali, kesho tutaona nani zaidi kati ya Yanga Asili sisi wazee na Yanga kampuni ya viongozi hasa Mwenyekiti! Kesho yake Yanga ikapigwa goli tano huku wachezaji wakicheza chini ya kiwango live!! Hatujui walipewa Nini kujiangusha vile!

Nimekupa history ya mechi hiyo ambayo Mimi niliishuhudia mwanzo mwisho!!

Sasa waambie Simba waifunge Tena Yanga khamsa! Siku Mkiweza mi hapo hapo nakuwa Mbumbumbu Ayubu fc kolowizard Leo hii!!
Sasa hayo yote na vilaza wenu yanatuhusu nini ?
 
Lomalisa atasaidiwa na Mwamnyeto ama Bacca kwenye huu upande wa kushoto, af kwa watakaotaka kupita pale kati atakuwepo "The Tank" Aucho na Mudathir maana huwa wanashuka sana chini kurudi wkt timu haina mpira.
Lomalisa ana UPUMBAVU ule alikuwa nao Aziz Ki msimu uliopita kwa kukaa sana na mpira ilihali hajifunzi kwa akina Aucho, yani anapoozesha sana mashambulizi kwa kutoendana na kasi ya mpira na kunyang'anywa kirahisi.

Pia ni mzito sana kurudi nyuma kukaba timu ikiwa imeshtukizwa mashambulizi baada ya yeye kupanda mbele.
 
Dua mbaya kwa Simba zimebuma.
👇

Sasa hayo yote na vilaza wenu yanatuhusu nini ?
Nimekupa history Ili uachane na mambo usiyoyajua Bali tuzungumze Leo Simba imekufa kiume Tena, na tulishasema Simba mechi zao 2 tu wanafurushwa Super cup! Hapo vipi? Tuongee Simba kurudi kwenye vumbi la NBC premier league baada ya kukandwa na kuacha madume ya mamba kuendelea na safari Yao waliyoidandia!
 
Back
Top Bottom