Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
🤣🤣🤣🤣 mnyama ndo ana hali mbaya anafungwa hovyoMkubwa mwenzao huyo
Aahaaaa
maneno y mana kabisaTusajili wachezaji wa maana, kocha tunae
amka wew utajikojoleaAcha uoga dk za Simba kuanzia dk 80,wanaweza kuweka hata tatu.
🤣🤣🤣🤣🤣 leo raha tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan aibu udugu, Simba sijui ikoje hata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nshachokaa, nataka kulala mapema.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila leo, tunacho aiseee!!
Cha msingi wote tutokeMmekua wazenji chenga twawala ila goli twapigwa
Jingine ni Kuwa tumekosa Penalty za wazi tunapiga na kumfata Kipa na zingine tumepaishaKauli za Kesho.![emoji2][emoji2]
[emoji117] Mangungu Hatufai.
[emoji117] Bora Manula Angekua Mzima.
[emoji117] Chama Bora Atupishe.
[emoji117] Saido Asinge Anza Kazeka.
[emoji117] Kocha Kaja Katikati ya Msimu.
[emoji117] Serikali ilitukwamisha Toka Mwanzo.
[emoji117] Sisi Robo Ndio Kwetu Nusu Bado
[emoji117]Tumekufa kiume
[emoji117]Shabalala na Kapombe wapumzishwe sasa
Ongeza Lingine…![emoji23][emoji23]
Mm nililiona tangu mwanzo utazani alikesha anapiga mbupu..Upande wa Kapombe anatakiwa aanze kuaminiwa Mwenda, Kapombe uzee umemfika tayari.
Usenge sana Simba wanafanya#YallaYaAhly
Na siku zote huwa tunafungwa magoli ya kizembe.Hili Goli Tumefungwa Kizembeee sana
we hulali? kakojoe ulale utuwache na timu yetu kabla hatujawa wakali🤣🤣🤣🤣 mnyama ndo ana hali mbaya anafungwa hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yupo kama mcheza disco
Tunamshukuru Mama kwa kuonyesha mahaba ya dhati ya Yanga na sio ssKauli za Kesho.![emoji2][emoji2]
[emoji117] Mangungu Hatufai.
[emoji117] Bora Manula Angekua Mzima.
[emoji117] Chama Bora Atupishe.
[emoji117] Saido Asinge Anza Kazeka.
[emoji117] Kocha Kaja Katikati ya Msimu.
[emoji117] Serikali ilitukwamisha Toka Mwanzo.
[emoji117] Sisi Robo Ndio Kwetu Nusu Bado
[emoji117]Tumekufa kiume
[emoji117]Shabalala na Kapombe wapumzishwe sasa
Ongeza Lingine…![emoji23][emoji23]