Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Tupo na chama letu
Mnyama Simba SC Ijumaa ya leo atakuwa dimba la Cairo International akicheza mechi ya marudiano ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Katika mchezo wa kwanza Simba ilifungwa goli 1-0.
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 5:00 usiku.
Je, Simba watapindua meza?
---
View attachment 2954890
Kikosi cha Simba kinachoanza
View attachment 2954901
Kikosi cha Al Ahly kilichoanza
Nenda kwenye penaltHakikisheni kama kawaida ndani ya dk 10 muwe msha achia
Kule yasha toka mapaki busNenda kwenye penalt
azam sports 1Game hii channel gani au sio saa 5
Huku Tunapita Mkuu karibu uangalie mpira wenye utamuNgoja tuhamie huku