FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Ndani Ya Mapambazuko Arusha... tunasubiria Mechi Kali Ya Mnyama

Simba Nguvu Moja
 
Game hii channel gani au sio saa 5
 
Hakikisheni kama kawaida ndani ya dk 10 muwe msha achia
 
Kwa heshima na tahadhima ally mpige Simba kwenye mshono

Jiji litulie
 
Back
Top Bottom