FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Dah yaan aliye Jiran na Nabi Le professor ampatie Panadol chap
 
Makomnbee eti makombe yote la mapinduzi mlichukua? Au sio kombe ni bakuli lile? Sisi bado tunawazidi makombe. Any way wavimbisheni tuuu huyo azaz wenu aendelee kuwanyonya
Usiongee kwa sauti! Wenzako watakucheka. Lili siyo kombe! Ni bakuli tu la urojo.
 
.
Screenshot_20221016-215549_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom