FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Hata tusiposonga mbele, hao makolo huwa wanachukua kombe? Wote wa hapahapa tu. Toka wameanza, kama wacheza rede tu, hawachukui uzoefu na makosa yao ya miaka yote. Watarudi tu, nimekaa palee 👉
Pole utopwinyost poleeeee
 
Naangalia Huu mtanange basi tu..!

Yaani pira Hapa ni Papatu Papatu tu.
Halina Raha Kbs..! Nataka tu nione kina Nani wametinga Makundi..! Baaaasi.
 
Hata tusiposonga mbele, hao makolo huwa wanachukua kombe? Wote wa hapahapa tu. Toka wameanza, kama wacheza rede tu, hawachukui uzoefu na makosa yao ya miaka yote. Watarudi tu, nimekaa palee 👉
Poleeeh lakini hamuwezi kujilinganisha nasi
 
Walidanganywa eti...
THE RETURN OF THE CHAMPION

OPERATION KHARTOOM...

Pambavu kabisa, alidhani mpira ni kupiga domo.
 
Hata tusiposonga mbele, hao makolo huwa wanachukua kombe? Wote wa hapahapa tu. Toka wameanza, kama wacheza rede tu, hawachukui uzoefu na makosa yao ya miaka yote. Watarudi tu, nimekaa palee 👉
Acha basi mtani Mnashindana Ili iweje? Si mngeigomea CAF.
 
Back
Top Bottom