FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Alafu kweli...yule sii ndio aliletwa kucheza mechi hizi lakini ndio yupo bench[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utopwinyo bwana sijui usajili wanafanya wakiwa chooni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule jamaa nahisi hata mechi 3 hajafikisha yupo benchi TU.
 
Diarra alikuwa na haja gani kupiga chenga halafu akiona mkabaji anakasi anaamua kuubutulia nje mpira?

Hili nalo hamuoni haja ya kuliweka kwenye moja ya kero za leo?
Yaani tumefungwa wanaleta showoff
 
Halafu akaja Tz kakutana na bahati ya mchawi kukuta mlango wazi. Simba, Azam, Namungo, Mtibwa zote zilikuwa mbovu.

Sasa athubutu msimu huu kutetea ubingwa
Simba kwa Yanga ni sawa na pombe ya ngomani unajichotea tu.

Jumapili ijayo muda kama huu utakuwa unasonya tu.
 
Mbinu ya kuanguka angukaMara kwa Mara na Ni nzuri San inafah kwa mech za kiafrica sna dkk kumi zilipotwezwa kwa kuanguka anguka tu laiti wangaacha mchezo wao huu wa kuanguka ovyo wangejuta kutufaahamu
 
Bila bila ulisema Yanga ikitolewa hutaonekana JF kwa kipindi cha mwezi mzima

Kwanini ubovu wa Yanga ukufanye ukose ushiriki wako kwenye mijadala muhimu

Mijadala ambayo hata uongozi wa Yanga unahitaji maoni yako ili kujiweka fiti?
 
Mbinu ya kuanguka angukaMara kwa Mara na Ni nzuri San inafah kwa mech za kiafrica sna dkk kumi zilipotwezwa kwa kuanguka anguka tu laiti wangaacha mchezo wao huu wa kuanguka ovyo wangejuta kutufaahamu
Kwa ttarifa yako Al hilal waliwaheshimu na kuwaacha mcheze mpira wa kfunguka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…