FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Tusipowashukuru makolo tutakuwa hatuwatendei haki 😂😂😂😂😂😂 kuacha usingizi wao, siyo kazi rahisi. Wana presha kuliko sisi. Na uzi umekuwa wao 🤦‍♀️ Sisi tunalala, tunawaachia hadi timu 🤣🤣🤣🤣 tukutane next weekend Mungu akipenda...
Daaah,kwani mahali Bei gani nikuchukue kabisa!Nalala na comment yako!
 
Hii ni michuano inayo ongoza Kwa kuwa aibisha Marefa, Maana timu Ina bebwa mbaka aibu. Kweli fedha fedheha.
[emoji23][emoji23]
Screenshot_20221015-084855.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi kama wananvhi hii mechi hatuitambui kwani inavuruga mahesabu yetu

Kumbuka mahesabu yetu ni kuhesabu unbeaten, so tumekubaliana kwamba tulipoishia pale pa mechi 43 bila kupoteza runaenda kuendelezea pale pale kwenye ligi kuu
 
Kwani Yanga kumfunga Zaalani alibebwa na Marefa?
Ushindi wenu nyinyi mnauona ni wa halali ila wa wenzenu hamtaki kuuheshimu mnadai refa kawaonea.

Machungu waliyoyapata akina Geita Gold( FA lst season), Namungo Fc na Azam Fc kupitia marefa wenu wa bahasha hamuona kama ni uonevu ila mlikenua meno yote, kenueni na leo sasa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom