mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huyooo mayelee.
Dj naomba wimbo wa Cristian Bella Obama mkali wa masauti.
ANARUDI ANALIAA
Dj naomba wimbo wa Cristian Bella Obama mkali wa masauti.
ANARUDI ANALIAA
Yanga Tamuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Tamuu
Daaah,kwani mahali Bei gani nikuchukue kabisa!Nalala na comment yako!Tusipowashukuru makolo tutakuwa hatuwatendei haki 😂😂😂😂😂😂 kuacha usingizi wao, siyo kazi rahisi. Wana presha kuliko sisi. Na uzi umekuwa wao 🤦♀️ Sisi tunalala, tunawaachia hadi timu 🤣🤣🤣🤣 tukutane next weekend Mungu akipenda...
Kwenye Shirikisho Yanga inacheza na nani? Au mpaka ifanyike draw?
Afu yule si yuko majeruhiAl Hilal wana bahati Mayele hakuwepo
[emoji23][emoji23]Hii ni michuano inayo ongoza Kwa kuwa aibisha Marefa, Maana timu Ina bebwa mbaka aibu. Kweli fedha fedheha.
Ina maana kuna kudai dk 20 ambazo refa hakuzimalizia?Sina Cha kuwadai wachezaji wa Yanga kunamambo yanakua juu ya uwezo wa wachezaji. Mpira umechezwa dakika 70 tu na umeisha.
Kwa Zalan mbona hamkuyaongea haya?Hii ni michuano inayo ongoza Kwa kuwa aibisha Marefa, Maana timu Ina bebwa mbaka aibu. Kweli fedha fedheha.
Ustar kwa ma ustaz huwa haufanyagi kaziUstar wake akicheza na Simba tu
Kwani Yanga kumfunga Zaalani alibebwa na Marefa?
Saizi lawama zimekuwa kwa refa tena?Hii ni michuano inayo ongoza Kwa kuwa aibisha Marefa, Maana timu Ina bebwa mbaka aibu. Kweli fedha fedheha.
Ushindi wenu nyinyi mnauona ni wa halali ila wa wenzenu hamtaki kuuheshimu mnadai refa kawaonea.Kwani Yanga kumfunga Zaalani alibebwa na Marefa?
Sasa Zalani nayo timu?Kwani Yanga kumfunga Zaalani alibebwa na Marefa?
Simba ambao tunawabomoa kilasiku tuna tumia Marefa?Sasa Zalani nayo timu?
Kwani mayele alicheza leo? Ijumaa aliutangazia ulimwengu kwamba lazima leo atetemeZalan we miss you bro
Leo tumeona tofauti ya KUTETEMA na KUTETEMEKA.
UNBEATEN... UNBEATEN... UNBEATEN..!
Mwendo mmeumaliza...!
Imani mmeilinda....!
Karibu Nyumbani Mashujaa!....Mmekufa Kiume..