FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Daaah,kwani mahali Bei gani nikuchukue kabisa!Nalala na comment yako!
 
Sisi kama wananvhi hii mechi hatuitambui kwani inavuruga mahesabu yetu

Kumbuka mahesabu yetu ni kuhesabu unbeaten, so tumekubaliana kwamba tulipoishia pale pa mechi 43 bila kupoteza runaenda kuendelezea pale pale kwenye ligi kuu
 
Kwani Yanga kumfunga Zaalani alibebwa na Marefa?
Ushindi wenu nyinyi mnauona ni wa halali ila wa wenzenu hamtaki kuuheshimu mnadai refa kawaonea.

Machungu waliyoyapata akina Geita Gold( FA lst season), Namungo Fc na Azam Fc kupitia marefa wenu wa bahasha hamuona kama ni uonevu ila mlikenua meno yote, kenueni na leo sasa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…