FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

yanga anaonesha maana ya soka achana na kabumbu toka ukoloni
 
Yanga wanachezewa rough na refa anapeta tu
 
Basi kama wameshindwa kuongeza bao hao alhilal ni wachovu tuuu
 
Yanga wanafanya vzr Sana. Ile match ya kwanza ilikuwa kama wanekewa gongo. Hakuna coordinations.


Hata Mpira ukiishia hapa, nimefurahi
 
Jamani ee..... Hivi nyie mnaona atoke Nani angalau sisi Wa Tz tupindue MEZA...... Maana naomba Meza inagoma Hapa Kupinduka..!!
 
Back
Top Bottom