data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Nina wasiwasi Yanga kuna ndumba sanaFeitoto kama kawaida yake. Ustar wake akicheza na Simba tu. Ananikumbusha enzi ya SMG na Dua Said
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina wasiwasi Yanga kuna ndumba sanaFeitoto kama kawaida yake. Ustar wake akicheza na Simba tu. Ananikumbusha enzi ya SMG na Dua Said
Ala hila wamepata la pili refa kasinya, kakataa.Nagp ngap wadau nasikia kelele
hapa ndo kosa kubwa yanga alifanyahawa al hilal kumbe nao wabovu tu, ni vile yanga hawakujipanga kumaliza mechi dar
Hat trick zimeishia chekechea ila Phiri anaupiga huko UdsmKabisa hata wachezaji wanajua jinsi yakucheza michuano hii. Hata km angebaki Matola ingepita...
Ngoja nikupe kidogo tyu "ukiona mwanamume mwenye mademu wengi anamsifia mwanaume mwenzake ujue huyo ni mume mwenza, njemba huwa linapita na wakeze"Mbona mm sijui au ni nyie wa daslamu mnajua
Hahaaaa haaa utopolo ni utopolo tuu mnashindwaje kuwafunga ho vibonde.itoshe kusema yanga anajua.
Offside
KumbeeeeNgoja nikupe kidogo tyu "ukiona mwanamume mwenye mademu wengi anamsifia mwanaume mwenzake ujue huyo ni mume mwenza, njemba huwa linapita na wakeze"
Kama hujaelewa subiri kdg 😂
Kwani yeye sio mchezaji?Diarra anasikika kuliko wachezaji
Ilikuwa goli la pili bahati nzuri imeamuliwa offside.Mungu saidia hizi kelele iwe ni mayele katetema
Wamekupapasa sioBado dakika nne tu wasudani wametupa rahaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16]