FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Iwe mvua iwe jua, ila mwisho wa siku dakika 90 ndo zinaamua.../

Nadhani itakuwa ni Sudani ya kaliua, ambayo walisema meza wanaenda kuipindua.../

Eti sisi ni klabu kubwa kuliko wale, na ndio maana wamefurahi kupata sare.../

Tuliwadhibiti hatukuwaruhusu watutawale, walipopiga mashuti yalizuiwa na mdaka mishale.../

Mechi ya marudiano hatuna cha kupoteza,tukienda kwao tunapindua meza.../

Uwezo upo maana Hersi kawekeza, sina haja ya kuongea saana maana kila kitu kinajieleza.../
Mdaka mishale kila mechi watu wanampasua ameshakuwa pakacha
 
Screenshot_20220928-193225.png
 
Ata ingekua Madrid isinge pindua Meza, Refa kuwa Nyota wa mchezo sio jambo Dogo kwenye soka. Sasa usajili wa zaidi ya bilioni 6 Manufaa yake ni Nini?

Tatizo ni wageni kwenye haya mashidano nini cha ajabu hapo?
 
Ata ingekua Madrid isinge pindua Meza, Refa kuwa Nyota wa mchezo sio jambo Dogo kwenye soka. Sasa usajili wa zaidi ya bilioni 6 Manufaa yake ni Nini?

Manufaa yake ni Daima Mbele Nyuma mwiko!
 
Freestyle king

Kilichotokea huko Sudani ni kilio, yuko wapi aliyesifiwa kwa mikimbio?

Yule mpemba kwa mishuti ni tishio, akipata mpira wasudani lazima waimbe pambio.../

Kupitia yule mchezaji aliyetumalizia pesa ya uturuki, tutawabana sana kuhakikisha hawafurukuti.../
 

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'
 
Hii Jumapili na ijayo ya tarehe 23 Oktoba sio nzuri sana kwa Utopolo.

Kwa ujumla hii wiki yote ni majanga kwani Jumanne wiki hii pia droo ya kombe la shirikisho Aftika inatoka kwa vile Utopolo ni underdog wanapangiwa kigogo ili wafurushwe mapema zibaki timu bora. Apangiwe tuu Agosto ya Angola ili wakose visingizio.

Tukitoka hapo Jumapili anaenda kuchomolewa mwiko huko nyuma pale Lupaso.
 
Mmezoea kuwafunga makocha wa kizungu safari hii mmewekewa Mgunda Juma mtatambua tu kuwa timu ya kuwafunga ipo. Tena mnapigwa za kutosha mkatetemee chooni
Mgunda hajawahi kufungwa na yanga?
 
Tuliwaambia acheni kuhonga marefa wekezeni uwanjani CAF hakuna hiyo michezo hamkusikia ona sasa mmelitia aibu taifa. Toka mwaka 1998 mtoto anazaliwa hadi anamaliza chuo kikuu hajaiona yanga makundi club bingwa
 
Back
Top Bottom