THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 743
- 915
Dakika ya ngapi hapo MkuuKocha atoe uyu mzize ..match zake niiza mikoani tena sub
Aisee! Huyu mzize. [emoji17]
Unajua mmepingwa ngapi nyie wachawi?🤣🤣🤣🤣Lolote baya liwakute wapigwe nne kuendelea.
Daah!kila mtu kashika kichwa huku rwanda nakuambia
Kocha anasubiri nini kumtoa uyu kichaa mzize?
Hatimaye Yanga imekuleta🤣Narudia, Mzize hatoshi kucheza Yanga. Yanga hii ya sasa ni aibu kuwa na mchezaji kaliba ya Mzize.
Mtani keshakalia msumariLolote baya liwakute wapigwe nne kuendelea.
Kabisa Mzize hatoshi hata kidogo.Narudia, Mzize hatoshi kucheza Yanga. Yanga hii ya sasa ni aibu kuwa na mchezaji kaliba ya Mzize.
Yanga tukubali tu msimu huu hatuna namba 9 mwenye kiwango cha Fiston Kalala Mayele. Lile goli hata mtoto wa miaka 14 angefunga. Ila yeye alichokifanya anajua mwenyewe.Aisee! Huyu mzize. 😔
Niko na mashabiki wa simba hapa yaani wamemtukana Kibu balaa kwa kukosa goli🤣🤣🤣Duuh unakosa goli pale
Hatimaye Yanga imekuleta[emoji1787]
NI kweli Mkuu kwa namba 9 hatuna.Yanga tukubali tu msimu huu hatuna namba 9 mwenye kiwango cha Fiston Kalala Mayele. Lile goli hata mtoto wa miaka 14 angefunga. Ila yeye alichokifanya anajua mwenyewe.