Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Ndo mbinu waliokuja nayo kuzuia pira burudani Ila kuna muda watachoka Tu ndipo kutakua na vilio na kusaga menoIla Hawa jamaa wanacheza hovyo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mbinu waliokuja nayo kuzuia pira burudani Ila kuna muda watachoka Tu ndipo kutakua na vilio na kusaga menoIla Hawa jamaa wanacheza hovyo sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utarogwaHalali yake. [emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Lol.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utarogwa
Kipindi cha pili tunawanyoosha vizuri kabisaMungu saidia Yanga tusifungwe!.. nina was was sanaa. Sijui ni stress za kugombana na wife jana au???
tatzo wanakaba sanaKipindi cha pili tunawanyoosha vizuri kabisa
Utu jamaa matatizo yake yana julikanaIla Mzize miyeyusho sana
Huko ndola watu mmepakatwa henyewe 😅Omdurman ninyoshee huyu kuzi