mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Kule kwingine makolo wamekoswa goli la wazi kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wao wamekosa kosa hapa wamekutana kidumu na mfunikoKule kwingine makolo wamekoswa goli la wazi kabisaa
Ongea ki football. Kwan wanacheza wenyewe tuDakik ya 23, bado Al Merreikh wamekaza.. ila wataachia tu ni suala la muda
Jifunze Kwanza kuandika ewe MBUMBUMBU [emoji16]Imoooo Was Wasudani wanaongoza kwa goli 1 hapaaa
Wasudi wanatumia nguvu nyingi sana itawacost second halfHuu mpira unaochezwa hapa hauvutii kusema ukweli... Ni mieleka tu
Kipofu anamuonesha njia kipofu mwenzie.Jifunze Kwanza kuandika ewe MBUMBUMBU [emoji16]
Tunapata Goli Ila n offsideBao tano... matumaini madogo..
Embu tusubiri ushindi Wowote...
Ikishindikana basi hata Sare...
Kacheze nachi [emoji28]Kipofu anamuonesha njia kipofu mwenzie.
Na wanapelekewa Moto sio poaNaona Makolo wameshapigwa huko, walidhani watacheza kama Simba Day?
Halali yake. 😂😂Kolo kakandwa moja