FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

Hawa Merrikh kamakuna kosa wamefanya ni kutofunga goli kipindi cha kwanza..... Hiko kipindi cha pili balaa watakalokutana nalo watasimulia na shangazi zao
 
Yanga kashinda hii,usipomfunga yanga kipindi Cha kwanza kipindi Cha pili ni ngumu,kwa hiyo yanga atashinda au ata droo
 
Hawa Merrikh kamakuna kosa wamefanya ni kutofunga goli kipindi cha kwanza..... Hiko kipindi cha pili balaa watakalokutana nalo watasimulia na shangazi zao
😂😂 Mfumo wa Nabi (kipindi Cha pili) unaendelea??
 
Back
Top Bottom