Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Japo nao wanafanya counter attacksKwa wale ambao hawapo kwenye tv zao ni kuwa muda wote Mpira unachezwa kwenye eneo la Al merreikh. Wanachofanya ni kujarib kupunguza kupigwa 5G
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo nao wanafanya counter attacksKwa wale ambao hawapo kwenye tv zao ni kuwa muda wote Mpira unachezwa kwenye eneo la Al merreikh. Wanachofanya ni kujarib kupunguza kupigwa 5G
Huyu Yao Yao anajua nyie
NgomaaaaaaawWaarabu Koko watapigwa kama[emoji1623][emoji1623][emoji1623]
Mdogo mdogo tutafika tuIla Mzize dah
Asipigwe misumari tu, huyu azindikwe hasa🤣🤣Kako vizuriiii, ana ari na uthubutu. Ana njaa, tumelamba dume hapa.
Kwa nini imeenda nje 😂Jooooob....... Inaenda nje
Nakazia.All the best timu kubwaa[emoji172][emoji172][emoji172]
Sahivi Yanga haiwategemei center forward moja Kwa moja
Asipigwe misumari tu, huyu azindikwe hasa[emoji1787][emoji1787]