FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

Hii mechi ZBC2 hawaoneshi? Maana kifuatacho wamebold mashujaa na ihefu.
 
Naona uwanja umetapika ni kama tupo Azam complex vile....
Hakika ni fahari Sana kua mwana Yanga [emoji172][emoji169][emoji41]
 
Uzi hauna updates kwanini hujaapdate uzi wako ww?
 
Kwa wale ambao hawapo kwenye tv zao ni kuwa muda wote Mpira unachezwa kwenye eneo la Al merreikh. Wanachofanya ni kujarib kupunguza kupigwa 5G
 
Back
Top Bottom