FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

Basi wangekuwa hawachezi kabisa hao mafowadi. Kazi imewashinda ndio maana kocha kaja na hii mbinu mpya. Mechi mbili za mwanzo wa msimu zilibadili mfumo wa kocha baada ya wao kufeli.
Ndo hivo itabidi tuvumilie msimu huu
 
Back
Top Bottom