FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

Kila la kheri Yanga, kila la kheri Tanzania...

Nikirudi miaka ya nyuma, Al Merrikh wamekuwa wakiisumbua sana Yanga...

Sasa ni kizazi kipya, muda wa kulipa kisasi...
Naam kisasi ni Haki.
Yanga kuanzia msimu uliopita tulianza kulipa kisasi kwa timu zote zilizowahi kutusumbua huko zamani...
TP Mazembe [emoji736]
Rivers Utd [emoji736]
USM Alger [emoji736] japo Sheria ndo ilitunyonga.
Bado hawa...
Gor Mahia
Mo Beijia

Na huyu wa Leo Al Merrikh tutampiga kama Ngoma [emoji28]

WANACHIIIIIIIIIIIIIIIIIII IIIIIIIIIIIIIIIIIIIII IIIIIIIIIIIIIIIIIIIII IIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
[emoji172][emoji169]
 
Timu yenyewe mnayocheza nayo haina hata kwao!! Ugenini inakuita nyumbani, ni kama wale tu mliocheza nao raundi ya mchangani!! Msije mkajisifu kuwa mmefunga timu!!
 
Al Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa.

Ni mchezo wa aina yake kwani Young Africans imefanikiwa kusafiri kwa kishindo cha mashabiki wengi mpaka jijini Kigali hivyo kuleta chache ya kuondoka na ushindi.

Tuwatakie heri na fanaka nyingi kwa Young Africans ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo.

Mechi itakuwa live saa 10:00 jioni na itakujia kupitia Azam Sports 1HD
Timu yenyewe mnayocheza nayo haina hata kwao!! Inalazimisha ugenini kuwa ndo nyumbani!! Ni kama wale wale tu mliocheza nao raundi ya mchangani, hapo utajisifu umefunga timu kweli? Tusisikie mtu anapiga kelele ya kujisifu kufunga timu isiyokuwa na kwao!!

Ila ukifungwa makelele ya kukushangaa lazima yawepo!! Utafungwaje na timu isiyokuwa na kwao?
 
Timu ikiwa na kwake huwa wanapats favour ya kuchezesha wachezaji zaidi ya 11 uwanjani?
 
Back
Top Bottom