FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

Hahaha, nishaga-angalia games 3 kwa pamoja na zote zikaenda. Wale wa vibanda umiza ndio wanaweza kunielewa mzee. Akina Scars

Nyie yanga lazima mpasuke leo, ndio safari inaishia hapo, na hakuna viti maalumu mtarudi mchangani tuuu.
 
Almerrheik ndo kidudu gani ?
Ni mwendo wa tano tano zile zile

Wachumba tu hao
 
Yanga hii iñavunja records zote, kiboko ya Al Ahaly ni Usmer Alger, tulipata matokeo kwao.
Hii circle imenikumbusha mpambano kati ya Charles Augustus Magnussen na Sherlock Holmes.

Magnussen alikua anataka kupata info za MI6 kutoka kwa kaka yake Sherlock aitwae Mycroft Holmes. So akatengeneza mtego...

Mycroft anamjali sana mdogo wake Sherlock, ila Sherlock anamjali mtu mmoja tu rafiki yake John Watson. Na John Watson anamjali mke wake Mary pekee.
So Magnussen alijua akimtumia Mary basi moja kwa moja atampata Mycroft kutokana na chain hiyo hapo juu.

So simba wanamuogopa Al Ahly, Al ahly anapigwa ja USM Alger ambayo nayo ni same power or less kwa Yanga. So the real threat simba anatakiwa kumuogopa ni Yanga😅

👉Kisa chote kipo kwenye series hii..(S3Ep3)

 
Mm kama Mtanzania naitakia al MERREKH bao 3 bin thifuli dhidi ya UTOPOLO de Classic
 

Sasa ndio ututabirie hadi sisi maprofesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…