Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Tunataka watuweke kundi moja na Man City, Real Madrid na Bayern MunchenHaya tukutane kwenye makundi, tushamaliza shughuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka watuweke kundi moja na Man City, Real Madrid na Bayern MunchenHaya tukutane kwenye makundi, tushamaliza shughuli.
Washamuweka chapilDynamo wameniangusha sana, wanamshindwaje kibonde yule anaesumbuliwa hata na Singida
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ndo lenyewe hili Mkuu.Pira gamondi
Mpaka Sasa ilitakiwa awe na goli tatu,hattricUyu dogo ata kama kafunga ila sio size ya kucheza Yanga [emoji91][emoji91][emoji91]
Kabisa.Bado tatu
Oya hii pasi ya Ki hapana aisee
Size yake ni Barcelona kwakweli au Liverpool.Uyu dogo ata kama kafunga ila sio size ya kucheza Yanga [emoji91][emoji91][emoji91]
Dogo kaninyamazisha ila ile pasi ya Ki ata mimi ningefunga.Katundika la pili mkuu.
Kabisa sio poaDogo kaninyamazisha ila ile pasi ya Ki ata mimi ningefunga.
Unaweza ukapata orgasm mbele za watu..
Siyo kwa raha hizi