The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ha ha na sisi tutaingiza mkuu
Wale niger ni kama wanatukomoa kufungwa na Uganda.
Mafanikio ya Simba na Yanga yanaletwa na wachezaji wageni.Hii timu bora ikose tu nafasi ya kufuzu. Maana ukiona mpaka Clement Mzize anaanza, ni ushahidi tosha kama Taifa hatuna wachezaji wenye viwango vya juu wa kulibeba Taifa.
Kwanini unambeza Mzize?Hii timu bora ikose tu nafasi ya kufuzu. Maana ukiona mpaka Clement Mzize anaanza, ni ushahidi tosha kama Taifa hatuna wachezaji wenye viwango vya juu wa kulibeba Taifa.
Mechi ya Dar es Salaam tulipowafunga wale vijana wa kurudisha mipira wakawa wanapoteza mda,mpira ulipoisha kocha wao kwa hasira akihojiwa alisema uhuni mliofanya mechi inayofuata tutamwachia Uganda atufunge halafu tuone mtafuzu vipiKwani sisi tuliwafanyaje hadi watukomoe?