Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mpango wa kuangalia tenaZBC wanaonesha live mbona!
Mimi naona bora wafuzu hao Uganda aisee! Ila siyo hii timu yetu. Timu haina malengo! Inacheza tu bora liende. Wachezaji ni wa kawaida sana. Kiufupi kunahitajika uwekezaji mkubwa kwenye soka letu.The Cranes anajipigia tu huko
Sio hatuna ila ujinga wetu WA kuamini wachezaji wako simba na Yanga tu. Hata akikaa benchi unamuitaWala simbezi. Ila ni ukweli bado hana uzoefu wowote ule kwenye timu ya Taifa! Na pia hata kwenye timu yake ya Yanga siyo chaguo la kwanza la mwalimu Garmond.
Hivyo kwa kitendo chake cha kupewa nafasi ya kuanza kwenye timu ya Taifa, ni ushahidi tosha kama Taifa hatuna wachezaji wengi wenye ubora wa kushindana na wenzetu.
Waarabu wana roho Mbaya sana, wanataka kumuingiza Mahrez, yani hawa watu siyo kabisa.Nao Algeria ni sifa tu hamna chochote wanachokipata kwenye mechi hii