Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Si nimeshangaa kuliona limoja baada ya kukosa bao eti nalo linajilaumu utafikiri limedondosha helaWaarabu wana roho Mbaya sana, wanataka kumuingiza Mahrez, yani hawa watu siyo kabisa.
Ndio utashangaa kuna watu huwa wanadhani Mwarabu ana urafiki na mtu mweusi.
Nikajiuliza au inawezekana kuna wachezaji wengine hawaelewi kuwa hii mechi kwao haina faida yeyote?