FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Safi sana Kakolanya

Hii mdio on target yao ya kwanza pamoja na kumiliki kote mpira
 
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake

Refa ni nigga mwenzetu ila bado anawabeba waarabu

Sijui anataka kuwakopa
Mbona yuko fair sana tu. Hii timu yenu inatakiwa ivunjiliwe mbali, na pia kocha afukuzwe. Haiwezekani zaidi ya dakika 30 timu inachezewa nusu uwanja. Huu ni upuuzi.
 
Substitute 21. Clement Mzize achemsha / 09.Abdul Sopu maji mazito anaingia 07.Himid Mau kutuliza mambo
 
Hahahahahah huko alipo Samatta atakuwa anajicgekea tu

Hii attempt ya TZ kwa shambulio aliloanzisha Msuva watu wamemaindi hapa banda umiza
 
Back
Top Bottom