FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Wala simbezi. Ila ni ukweli bado hana uzoefu wowote ule kwenye timu ya Taifa! Na pia hata kwenye timu yake ya Yanga siyo chaguo la kwanza la mwalimu Garmond.

Hivyo kwa kitendo chake cha kupewa nafasi ya kuanza kwenye timu ya Taifa, ni ushahidi tosha kama Taifa hatuna wachezaji wengi wenye ubora wa kushindana na wenzetu.
Sio hatuna ila ujinga wetu WA kuamini wachezaji wako simba na Yanga tu. Hata akikaa benchi unamuita
 
Back
Top Bottom