FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Hatimaye mbinu za kocha zimelipa, tungetaka kushindana na hawa Waarabu tungeumia.

Niliwaambia mapema Waarabu waachwe wacheze mpira lakini wasipate goli, haya ndio yalikuwa malengo yetu leo.
 
Hongera stars na watz wote. Hii inaitwa scrapping through.... ball possession 19%, pass accuracy 46%
 
"Tunaipongeza serikali ya CCM, tunampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mama Samia Suluhu Hassan...."
Atasikika mwanasiasa mmoja bungeni...
Hakuna shida. Wengine wanapongezwa mpaka na wake zao as long as ni watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…